Teknolojia na Huduma Zinazojengwa Juu ya Uaminifu.
Tunatumia teknolojia kurahisisha huduma na shughuli za kila siku kwa watu, biashara na jamii Tanzania.
Tunakusaidia Kufanya Mambo Kwa Urahisi
Kutoka kwenye huduma za serikali na elimu hadi mifumo ya teknolojia na huduma za biashara, FETCO inakuunganisha na huduma unazohitaji kwa urahisi na weledi.
Huduma za Serikali
NIDA, TIN, RITA, pasipoti, leseni za biashara na huduma nyingine.
Elimu na Ajira
HESLB, udahili wa vyuo, Ajira Portal, AVN na huduma nyingine.
Teknolojia
Mifumo ya matokeo, ratiba za masomo, huduma za kompyuta na teknolojia.
Vitambulisho na Nyaraka
Utengenezaji wa vitambulisho, vyeti vya tuzo na huduma nyingine za nyaraka.
Huduma za Internet
Vifurushi vya internet kwa SME kutoka Vodacom, Airtel, Yas na Halotel.
Bidhaa
Uuzaji wa calculator original na bidhaa nyingine zitakazoongezwa.
Uaminifu Kabla ya Faida.
Trust Over Gain ndiyo msingi wa namna tunavyofanya kazi.
Uaminifu
Tunathamini uaminifu katika kila huduma tunayotoa na kila mteja tunayemhudumia.
Weledi
Tunajitahidi kutoa huduma kwa usahihi, uwajibikaji na kiwango cha kitaalamu.
Urahisi
Tunatumia teknolojia kufanya huduma ziwe rahisi kufikiwa na kueleweka.
FETCO ni Nini?
FETCO Tanzania ni kampuni inayolenga kuunganisha teknolojia na huduma mbalimbali ili kurahisisha maisha ya watu na biashara.
Kampuni ilianzishwa na Fedrick Elia Tlatlaa na Consolata Erasto, ikiwa na msingi wa uaminifu, huduma bora na matumizi ya teknolojia.
Maono Yetu
Kuwa kituo kikuu cha muunganiko wa teknolojia nchini Tanzania, tukitumia mifumo ya kidijitali kurahisisha maisha ya wananchi.
Teknolojia Inayounganisha Maisha ya Kila Siku
Maono yetu ni kutumia teknolojia kuunganisha huduma na mahitaji ya watu katika sekta mbalimbali.
Tunaanzia Tulipo. Tunajenga Tunakokwenda.
FETCO inakua hatua kwa hatua kuelekea mfumo mpana wa teknolojia, huduma na biashara.
FETCO ya Leo
Kwa sasa, huduma zetu nyingi zinafanyika chini ya jina la biashara la FETCO Digital Services, tukitoa huduma za kidijitali, nyaraka, elimu, teknolojia na huduma nyingine.
FETCO ya Kesho
Tunaelekea kujenga mfumo wa ventures mbalimbali katika teknolojia, elimu, internet, biashara, real estate, agriculture na sekta nyingine.
Wasiliana Nasi
Una swali au unahitaji huduma? Tupo tayari kukusaidia.
Unahitaji Huduma?
Wasiliana nasi moja kwa moja kupitia WhatsApp kwa maelezo kuhusu huduma unayohitaji.
Tuma WhatsApp