FETCO Tanzania

Teknolojia na huduma
zinazojengwa juu ya uaminifu.

Tunatumia teknolojia kuunganisha na kurahisisha huduma za kila siku kwa wananchi, biashara na taasisi Tanzania.

Mtera, Dodoma · Tunahudumia Tanzania
Technology Integration

Huduma nyingi. Njia rahisi ya kuzipata.

Serikali & Nyaraka
Elimu & Ajira
Teknolojia
Vitambulisho
Internet
Bidhaa
Huduma

Huduma za FETCO

Wigo wa huduma za serikali, elimu, ajira, teknolojia, nyaraka, internet na bidhaa.

01

Huduma za Serikali

NIDA, RITA, TIN, pasipoti, leseni za biashara, bima ya afya na huduma nyingine.

02

Elimu na Ajira

HESLB, udahili wa vyuo, Ajira Portal na Award Verification Number.

03

Teknolojia na Mifumo

Mifumo ya matokeo, ratiba, tovuti, mifumo ya kidijitali na IT support.

04

Utambulisho na Nyaraka

Vitambulisho (IDs), vyeti vya tuzo na huduma nyingine za nyaraka.

05

Huduma za Internet

Vifurushi vya internet vya SME kutoka Vodacom, Airtel, Yas na Halotel.

06

Bidhaa

Uuzaji wa calculator original na bidhaa zitakazoongezwa.

Tazama huduma zote 20
Msingi wetu

Trust Over Gain

Uaminifu, weledi na urahisi ndiyo maadili yanayoongoza namna FETCO inavyotoa huduma.

Uaminifu

Ndio msingi wetu mkuu; tunathamini usalama wa taarifa za mteja.

Weledi

Tunatoa huduma kwa usahihi na viwango vya kitaalamu.

Urahisi

Tunatumia teknolojia kufanya huduma ngumu ziwe rahisi kufikiwa na kila mtu.

Kuhusu FETCO

Technology Integration kwa maisha ya kila siku.

FETCO Tanzania ni kampuni ya kiteknolojia inayojikita katika kurahisisha upatikanaji wa huduma za kiofisi na kidijitali. Kampuni ilianzishwa na Fedrick Elia na Consolata Erasto, ikiwa na makao makuu Mtera, Dodoma, na inahudumia wateja nchini kote kupitia mtandao.

Jifunze zaidi

Maono Yetu

Kuwa kituo kikuu cha muunganiko wa teknolojia nchini Tanzania, kurahisisha maisha ya wananchi kupitia mifumo ya kidijitali.

FETCO ya Kesho

Tunaanzia tulipo. Tunajenga tunakokwenda.

FETCO inakua kuelekea mfumo mpana wa ventures katika sekta mbalimbali.

FETCO ya Leo

Kwa sasa, huduma nyingi zinafanyika chini ya jina la biashara la FETCO Digital Services, zikihusisha huduma za kidijitali, nyaraka, elimu, teknolojia na huduma nyingine.

FETCO ya Kesho

Maono ya baadaye yanajumuisha shule za kiteknolojia na vituo vya uvumbuzi, Real Estate, Agriculture, pamoja na mifumo ya kisasa ya biashara na mawasiliano.

Unahitaji huduma?

Anza kwa kuangalia huduma tunayotoa.

Kwa huduma zilizo na fomu, utaweza kusoma mahitaji na kuendelea moja kwa moja kwenye fomu ya maombi.

Angalia Huduma