Mwanzo / Kuhusu FETCO
Kuhusu sisi

FETCO Tanzania

Kampuni ya kiteknolojia inayojikita katika kurahisisha upatikanaji wa huduma za kiofisi na kidijitali.

Sisi ni nani?

Sisi ni wataalamu wa Technology Integration—tukimaanisha tunatumia teknolojia kuunganisha na kurahisisha huduma za kila siku kwa wananchi, biashara, na taasisi.

Kampuni ilianzishwa na Fedrick Elia na Consolata Erasto, ikiwa na makao makuu Mtera, Dodoma, lakini tunahudumia wateja nchini kote kupitia mtandao.

Kaulimbiu

Trust Over Gain

Kaulimbiu yetu kuu.

Maadili yetu

Kinachotuongoza

Uaminifu

Ndio msingi wetu mkuu; tunathamini usalama wa taarifa za mteja.

Weledi

Tunatoa huduma kwa usahihi na viwango vya kitaalamu.

Urahisi

Tunatumia teknolojia kufanya huduma ngumu ziwe rahisi kufikiwa na kila mtu.

Maono ya baadaye

FETCO ya Kesho

FETCO inakua kuelekea kuwa mfumo mpana wa ventures.

Teknolojia na uvumbuzi

Shule za kiteknolojia na vituo vya uvumbuzi.

Real Estate na Agriculture

Biashara ya majengo na kilimo.

Mifumo

Mifumo ya kisasa ya biashara na mawasiliano.

Muunganiko wa teknolojia

Kuendelea kurahisisha huduma na maisha ya wananchi.