Mwanzo / Huduma / Cheti cha Kuzaliwa
Huduma za Serikali

Cheti cha Kuzaliwa

Maombi ya Cheti cha Kuzaliwa kupitia FETCO Digital Services.

Gharama

Tsh. 17,999Mtoto chini ya miaka 10
Tsh. 29,999Kuanzia miaka 10

Muda

Siku 2 hadi 5, maombi yakiwa vizuri.

Mahitaji

  1. Kadi ya Kliniki
  2. Cheti cha FALAKI
  3. Pasi ya kusafiria
  4. Cheti cha kumaliza shule ya msingi au sekondari (Leaving Certificate)
  5. Kitambulisho cha kupigia kura cha muombaji
  6. Kitambulisho cha kupiga kura au utaifa vya wazazi
  7. Tangazo la kizazi
  8. Cheti cha Ubatizo
  9. Barua ya utambulisho kutoka kwa Afisa Mtendaji wa Kijiji/Kata ambayo kizazi kimetokea
  10. Kitambulisho cha utaifa cha muombaji
  11. Leseni ya udereva ya muombaji

Fomu ya Maombi

Ukiwa tayari, endelea kwenye fomu ya maombi.

Anza Maombi
Unahitaji vitu viwili (2) au vitatu (3) kati ya mahitaji yaliyoorodheshwa.