Gharama
Tsh. 17,000
Mahitaji
- Nakala ya cheti cha zamani (NI LAZIMA)
- Kadi ya Kliniki
- Cheti cha FALAKI
- Pasi ya kusafiria
- Cheti cha kumaliza shule ya msingi au sekondari (Leaving Certificate)
- Kitambulisho cha kupigia kura cha muombaji
- Kitambulisho cha kupiga kura au utaifa vya wazazi
- Tangazo la kizazi
- Cheti cha Ubatizo
- Barua ya utambulisho kutoka kwa Afisa Mtendaji wa Kijiji/Kata ambayo kizazi kimetokea
- Kitambulisho cha utaifa cha muombaji
- Leseni ya udereva ya muombaji
Nakala ya cheti cha zamani ni lazima; unahitaji vitu viwili (2) au vitatu (3) kati ya mahitaji yaliyoorodheshwa.
